KATIBA

KATIBA

Katiba yetu ndio muongozo wa kikundi chetu, imetungwa na sisi wanakikundi ili tuweze kujiongoza sisi wenyewe kulingana na maamuzi yetu yaliyopo katika katiba hii. Lengo ni ushiriki wa kila mwanakikundi kujiongoza na kusimamia shughuli zote za kikundi, kuweka hisa, kufanya biashara na uwekezaji ili kuboresha maisha ya familia na jamii nzima.
 



©2015 , Vicoba Benki ya Maendeleo Vijijini

Picture News