MAANA YA VICOBA


VICOBA NI NINI? (VILLAGE COMMUNITY BANK)

VICOBA ni kikundi cha watu 15 hadi 30 wanaofahamiana na kukubaliana malengo yao na katiba yao, wanakutana kila wiki mara moja (mwezi au mwaka mara moja inategemeana na nafasi) na kupata huduma ya MAFUNZO ya UJASILIAMALI na huduma ya FEDHA.


 

©2015 , Vicoba Benki ya Maendeleo Vijijini

Picture News