Village Community Bank, Taasisi hii imeanza mwaka 2002 hadi sasa ina zaidi ya wanachama 500,000 ,88% wanawake 12% wanaume
Kuondoa Umasikini kwenye jamii yetu.
Fulsa za Mafunzo,Kukutana na watu,huduma za kifedha.
kuondoa umasikini.
Kuanzisha vikundi,kutoa Elimu,Kumiliki Ardhi na Kuratibu
Mbali na kupewa elimu ya Ujasiliamali pia unapata fursa ya kutafutiwa soko.